Matching Titles
- DHIFA
- Dhifa ni diwani ya mwisho ya Kezilahabi.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- HARUSI
- Vigelegele, vifijo na cherekochereko za kina mama wakiimba mamie mwana so ukaule mgeni kengia ndizo zinazokamilisha kilele cha harusi ya Rahman, mtoto wa Alhaj Mwinyi Karim kwa Shufaa binti wa Mwinyi Sitaki Shari.
- Published : 2017
- Language : Swahili
- LAWALAWA
- Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MZINGILE
- Mzingile ni novela (riwaya fupi) ya kifalsafa na kibaadausasa iliyochapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1991. Riwaya hii ni pacha ya ile ya Nagona (1990). Riwaya hii inasawiri chimbuko, maendeleo, maangamizi na kuzaliwa upya kwa dunia kutokana na fujo za wa
- Published : 2023
- Language : Swahili
- NAGONA
- Nagona ni riwaya fupi ya kifalsafa na kibaadausasa inayoibua fikra juu ya falsafa na maana ya uhai, maisha, dhamiri na hata fikra yenyewe. Mhusika kiini wa novela hii anajikuta katika mazingira ya ajabuajabu katika nyakati tofauti tofauti.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MTAFITI
- Habari ya kuuawa kwa mtafiti Grayson Mochiwa haikuwa na sababu ya kumshitua mrembo Zay mpaka pale anapogundua kuwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa rafiki yake kipenzi sio tu hakukuwa kwa bahati mbaya bali pia kulihusiana moja kwa moja na kifo
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MDUNGUAJI
- Wapiganaji kumi, wakiwemo Watanzania watatu, wanaounda kikosi maalum cha jeshi la Umoja wa Mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejificha katika msitu walikokuwamo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
My Cart