
“Dunia uwanja wa fujo” inaelezea jinsi maisha yaliyopo duniani ni sawa sawa na fujo kwani kila mtu anayekuja duniani huleta fujo zake na baadae kutoweka. Mwandishi E. Kezilahabi anaelezea katika jamii kila mtu anakuja duniani kufanya fujo zake na kusababisha matatizo mbalimbali katika jamii yake kama vile mauaji, ukabila, umalaya, uchawi, ubakaji ulevi wa kupindukia nk. hivyo basi mwandishi anaamini kwamba katika dunia kila mtu anakuja na fujo zake na kutoweka, mfano mhusika Tumaini katika Riwaya hii ameleta fujo zake kama vile umalaya, mauaji na mengine mengi na baadae kutoweka.
This book is categorised in
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789976587043
- Publication Date : January 2023
- Language : Swahili
- Number of Pages : 233
- Cover Format : Paperpack