Found 56 books in
General
Viewing 25 - 36 of 56
matches
Viewing 25 - 36 of 56
matches
- ORODHA
- Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- MAJI HAYAFATI MKONDO
- Maji Hayafuati Mkondo ni riwaya ya kipekee iliyoandikwa na mwandishi wa kike Felista Richard Mhonge . Riwaya hii inazungumzia changamoto anazokumbana nazo mwanamke katika kufikisha ndoto za maisha yake.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- KABRASHA LA RAIS
- Rais Kassim Mabrouk wa Tanzania anaingia kwenye mgogoro mkubwa na baadhi ya wajumbe wa chama chake, Chama Mahalia (CM). Genge la matajiri ndani ya chama linapanga mbinu chafu dhidi yake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MTAFITI
- Habari ya kuuawa kwa mtafiti Grayson Mochiwa haikuwa na sababu ya kumshitua mrembo Zay mpaka pale anapogundua kuwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa rafiki yake kipenzi sio tu hakukuwa kwa bahati mbaya bali pia kulihusiana moja kwa moja na kifo
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MDUNGUAJI
- Wapiganaji kumi, wakiwemo Watanzania watatu, wanaounda kikosi maalum cha jeshi la Umoja wa Mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejificha katika msitu walikokuwamo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MKIMBIZI
- Mwanadada Tigga Mumba anaingia kwenye msukosuko mkubwa maishani, pale anaposhuhudia mauaji ya kutisha akiwa msituni akishiriki utafiti wa mambo ya kale.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- JULIUS NYERERE KIZIMBANI
- Tamthiliya hii inahusu tukio la kweli la kihistoria lililotokea mwaka 1958. Katika mwaka huo, TANU ikiwa na umri wa miaka minne pekee, serikali ya kikoloni ilidhamiria kuuyumbisha na hatimaye kuusambaratisha kabisa uongozi wa chama.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- NGOME YA MIANZI
- Ni mwaka 1891. Mugoha na Nyawelu wametumwa katika kijiji cha mbali ili kumtafutia auni mama yao ambaye anaumwa uchungu wa uzazi. Wakiwa huko nchi ya Uhehe inavamiwa ghafla na majeshi ya Wadachi.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- TANZIA YA PARTICE LUMUMBA
- KONGO [DRC] ilipata uhuru toka kwa Wabelgiji tarehe 30/06/1960 na Patrice Lumumba akawa Waziri Mkuu wa kwanza. Baada ya miezi sita tu, yaani tarehe 17/01/1961, Lumumba akauliwa kikatili na kinyama
- Published : 2022
- Language : Swahili
- USIKU UTAKAPOKWISHA
- Mbunda Msokile alizaliwa Mbinga, Tanzania. Alipata elimu ya msingi katika shule za Wukiro na Litembo, na elimu ya sekondari katika shule za Kigonsera na Ihungo. Baada ya hapo, alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu shahada ya B.A (Ed) mwaka
- Published : 2022
- Language : Swahili
- PEPO YA MABWEGE
- Pepo ya Mabwege ni riwaya ya kitashtiti inayoangazia mazingira ya kisiasa, kijamii na kiuchumi barani Afrika katika miaka ya 1960 na 1970, baada ya vuguvugu la kudai uhuru na uongozi wa dola kutulia.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MAJI MANDIGA
- Simulizi hii inaakisi uhalisia wa changamoto za maji wanazokutana nazo wanawake hasa wanaoishi vijijini. Iwapo kutakuwa na kufanana kwa jina au tukio la aina yoyote basi haikuwa dhamira ya mtunzi na mwandishi.
- Published : 2023
- Language : Swahili