
Maisha yamekuwa na changamoto nyingi kwa watu wengi. Watoto nao wanfukuzwa shule, mke na mume hawaelewani na wengine wanafikia kuogopa hata kukaa nyumbani kwao, watoto na wazazi wao wanagombana, raia wanawalaumu viongozi wao... Maisha yameingia ukakasi, hofu na uchungu mkubwa! Kila mmoja anaimba wimbo ulele: kodi, kodi, kodi! Nini mchango wa "kodi" kwenye hali hii? Tamthiliya hii inatupitisha kwenye visa kadha wa kadha ambavyo vinaangazia ni kwa vipi kodi inaangushiwa lawama dhidi ya kila madhila ya ugumu wa Maisha na ukosefu wa amani nyumbani.
- ISBN : 9789912752436
- Tarehe ya kuchapishwa : May 2025
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 152
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : First Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni