
Morani
Paperback
Katika kiwango cha uhalisia, tunamwona Dongo, mhusika mkuu, akipambana na
wahujumu uchumi ili kuwakomboa wanyonge. Lakini ghafla nyota iliyong’aa na
kuwapa tumaini maskini inazima. Dongo anafariki dunia! Kwa wanyonge
ukombozi wa nchi yao unageuka ndoto ya kukatisha tamaa. Kuhusu hali katika
dunia ya Kuzimuni tunamwona Dongo katopea kwenye mdahalo wa kifalsafa
akitafakari na kutathmini yale yaliyomfika na kumtoa roho ghafla.
Maoni kutoka kwa jamii
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni
Na
Emmanuel Mbogo