Siku ya Watenzi Wote
Paperback

SIKU YA WATENZI WOTE  ni riwaya ya kijamii inayojadili maisha ya wanadamu namna wanavyohusiana wao kwa wao na pia baina yao wao na Mungu. Ni riwaya inayozungukia kipindi cha mabadiliko katika nchi ya Tanganyika mara tu baada ya uhuru. Mabadiliko hayo yamegusia Nyanja mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Pamoja na mabadiliko hayo hasa ya kisiasa, tabaka la wenyenacho linaendeleza dhuluma, ufisadi, ukatili, uonevu na maovu mengine na kuwaacha watu wa tabaka la chini katika njaa kali, umasikini uliokithiri, makazi duni na kukata tamaa.

Shaaban Robert

No

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789976583830
  • Tarehe ya kuchapishwa : June 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 154
  • Aina ya kava : Softcover
  • Toleo : First Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii