Found 309 matching results Viewing 109 - 120 of 309 matches Viewing 109 - 120 of 309 matches
- MZINGILE
- Mzingile ni novela (riwaya fupi) ya kifalsafa na kibaadausasa iliyochapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1991. Riwaya hii ni pacha ya ile ya Nagona (1990). Riwaya hii inasawiri chimbuko, maendeleo, maangamizi na kuzaliwa upya kwa dunia kutokana na fujo za wa
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MWINYI NA MANYANI YA ADILI
- Tamthilia hii inaangazia hali ya maisha nchini Tanzania kabla na wakati wa utawala wa Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (Mhe). Tamthilia inaonesha Rais Mwinyi akipokea dola nchi ikiwa inaning’inia katika mtego mkubwa wa kifalsafa, kisiasa na kiuchu
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MWALIMU ROSE
- Ambrose Mghanga amefanikiwa kuichora jamii katika kurasa na kuipa fursa ya kujitazama katika riwaya yake hii.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MWAFRIKA AIMBA
- Mwafrika Aimba ni diwani inayosawiri maisha ya mwanadamu. Mshairi ameonesha jinsi maisha yalivyo kwa Mwafrika. Anadokeza dhuluma, manyanyaso, unafiki, usaliti na maovu. Vilevile anawanasihi watu wote kutimiza wajibu wao.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MUKWAVA WA UHEHE
- No overview
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MTUMWA HADI SITI BINTI SAAD
- Historia ya maisha ya Siti Binti Saad kama yalivyosawiriwa na Shaaban Robert na Nasra Mohamed Hilal, na sasa, katika tamthiliya hii ya kihistoria, itamfunulia msomaji wasifu na safari ya maisha ya mwanamama huyu.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- MTAFITI
- Habari ya kuuawa kwa mtafiti Grayson Mochiwa haikuwa na sababu ya kumshitua mrembo Zay mpaka pale anapogundua kuwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa rafiki yake kipenzi sio tu hakukuwa kwa bahati mbaya bali pia kulihusiana moja kwa moja na kifo
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MOTO WA MIANZI
- Riwaya ya Moto wa Mianzi inahusu matukio yaliyofuatia kutekwa kwa Ngome ya Kalenga mwaka 1894. Mutwa Mukwava alikimbilia Kilolo. Mugoha Muhanzala...
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MORANI
- Tamthiliya ya Morani inasawiri misukosuko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania katika miaka ya 80.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- MKONO WA JAMHURI
- Mtemi Mkwawa anamtuma Mwagito kwenda Unyanyembe kuwakomboa watumwa walichukuliwa kutoka kalenga. Chambila, Mshauri wa Usalama wa Mtemi Mkwava, hapendezwi na matokeo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MKIMBIZI
- Mwanadada Tigga Mumba anaingia kwenye msukosuko mkubwa maishani, pale anaposhuhudia mauaji ya kutisha akiwa msituni akishiriki utafiti wa mambo ya kale.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MIRATHI
- Kifo cha Masanja kinatarajiwa kuwa sherehe kwa mkewe na watu wake wa karibu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
My Cart