Found 293 matching results Viewing 205 - 216 of 293 matches Viewing 205 - 216 of 293 matches
- UCHOCHORO WA TANZANITE
- Alex ni afisa usalama, anapenyezwa Wizara ya Madini kung’amua kinachoendelea katika upotevu tata wa mapato ya Taifa ndani ya biashara ya madini ya Tanzanite. Anaambulia taarifa kiduchu
- Published : 2023
- Language : Swahili
- INSHA NA MASHAIRI
- Maisha ya binadamu yamejaa changamoto nyingi. Binadamu hana budi kupambana na kutatua changamoto hizo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SIKU YA WATENZI WOTE
- SIKU YA WATENZI WOTE ni riwaya ya kijamii inayojadili maisha ya wanadamu namna wanavyohusiana wao kwa wao na pia baina yao wao na Mungu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- UTUBORA MKULIMA
- Hii ni riwaya inayozungumzia maisha ya kijana aitwaye Utubora. Kama jina lake lilivyo, kijana huyu anajipambanua kuwa ni mtu jasiri, imara, mvumilivu, mwaminifu, mkweli na mwenye misimamo imara katika maamuzi yake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MWAFRIKA AIMBA
- Mwafrika Aimba ni diwani inayosawiri maisha ya mwanadamu. Mshairi ameonesha jinsi maisha yalivyo kwa Mwafrika. Anadokeza dhuluma, manyanyaso, unafiki, usaliti na maovu. Vilevile anawanasihi watu wote kutimiza wajibu wao.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SAUTI YA JOGOO
- Gundua maisha ya wanyama wa nyumbani. Jifunze kuhusu sauti zao, chakula chao, mahali wanakoishi na pia yupi ni mlafi kupita wengine.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KIWAVI MTOTO
- Safari yake ilikuwa na matukio mengi, hadi pale wingu nene lilipotanda. Hofu yake ya kuloweshwa na mvua ilibadilisha maisha yake
- Published : 2023
- Language : Swahili
- BABY CATERPILLAR
- Her journey was full of adventures until the clouds changed. Her fear of getting wet, transformed her life.
- Published : 2023
- Language : English
- GRANDMA PIPI AND THE ROSES
- The arguments in the Rose garden were getting nasty. Grandma Pipi could not believe what she was hearing. Pink Rose was now shouting at the top of her voice,
- Published : 2023
- Language : English
- ROOSTER'S VOICE
- Discover the world of farm animals, the sounds they make, the food they eat, where they live and even who has a bigger appetite than the others.
- Published : 2023
- Language : English
- BIBI PIPI NA MAWARIDI
- Mabishano bustanini yalishaanza kupamba moto. Bibi Pipi hakuamini alichokuwa anakisikia. Waridi Pinki alikuwa anapayuka kwa hasira, “Inatosha jamani, acheni huu ujinga!” Waridi Jeupe alikuwa akilia kwa kwikwi huku Waridi Jekundu akiwa ameivimbisha miiba y
- Published : 2023
- Language : Swahili
- WHO AM I? SHEEP
- The Who am I? series provides young readers with information about common things in the environment in a simple and direct language.
- Published : 2023
- Language : English
My Cart