Found 14 matching for Emmanuel Mbogo Viewing 1 - 12 of 14 matches Viewing 1 - 12 of 14 matches
- MALKIA BIBI TITI MOHAMMED
- Tamthilia hii inahusu Bibi Titi Mohamed
- Published : 2018
- Language : Swahili
- NYERERE NA SAFARI YA KANAANI
- Oktoba, 1996 kulizuka mgogoro mkubwa wa kihistoria kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Muhimbili.
- Published : 2018
- Language : Swahili
- MTUMWA HADI SITI BINTI SAAD
- Historia ya maisha ya Siti Binti Saad kama yalivyosawiriwa na Shaaban Robert na Nasra Mohamed Hilal, na sasa, katika tamthiliya hii ya kihistoria, itamfunulia msomaji wasifu na safari ya maisha ya mwanamama huyu.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- MORANI
- Tamthiliya ya Morani inasawiri misukosuko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania katika miaka ya 80.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- SADAKA YA JOHN OKELLO NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
- Sadaka ya John Okello ni tamthilia ya kihistoria kuhusu mapinduzi ya tarehe 12/1/1964 visiwani Zanzibar.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- WANGARI MAATHAI
- Mwaka 2004 Profesa Wangari Maathai, kiongozi wa chama cha kuhifadhi mazingira (Green Belt Movement) nchini Kenya, alitunukiwa tuzo ya Amani ya Nobel........
- Published : 2019
- Language : Swahili
- FUMO LIONGO
- Fumo Liongo alikuwa shujaa wa mji wa Pate katika Pwani ya Afrika ya Mashariki aliyeishi kati ya karne ya 9 na ya 13
- Published : 2020
- Language : Swahili
- NYERERE NA VIJIJI VYA UJAMAA
- Msingi na dafina ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- SHUJAA MIRAMBO
- MIRAMBO - Napoleon Bonaparte wa Afrika Tamthilia hii ya kihistoria inamhusu Mirambo, Mnyamwezi na mtemi wa Urambo toka mwaka 1860 hadi 1884.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- TANZIA YA PARTICE LUMUMBA
- KONGO [DRC] ilipata uhuru toka kwa Wabelgiji tarehe 30/06/1960 na Patrice Lumumba akawa Waziri Mkuu wa kwanza. Baada ya miezi sita tu, yaani tarehe 17/01/1961, Lumumba akauliwa kikatili na kinyama
- Published : 2022
- Language : Swahili
- WATOTO WA MAMAN’TILIE
- Katika riwaya hii ya Watoto wa Maman’tilie, mwandishi anathibitisha kuwa mama ni mtu wa muhimu sana. Riwaya inasimulia na kushadidia kuwa Maman’tilie ni nguzo na dereva wa familia yake yenye wasafiri watatu:
- Published : 2022
- Language : Swahili
- JULIUS NYERERE KIZIMBANI
- Tamthiliya hii inahusu tukio la kweli la kihistoria lililotokea mwaka 1958. Katika mwaka huo, TANU ikiwa na umri wa miaka minne pekee, serikali ya kikoloni ilidhamiria kuuyumbisha na hatimaye kuusambaratisha kabisa uongozi wa chama.
- Published : 2023
- Language : Swahili