Found 10 matching for Shaaban Robert Viewing 1 - 10 of 10 matches Viewing 1 - 10 of 10 matches
- INSHA NA MASHAIRI
- Maisha ya binadamu yamejaa changamoto nyingi. Binadamu hana budi kupambana na kutatua changamoto hizo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SIKU YA WATENZI WOTE
- SIKU YA WATENZI WOTE ni riwaya ya kijamii inayojadili maisha ya wanadamu namna wanavyohusiana wao kwa wao na pia baina yao wao na Mungu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- UTUBORA MKULIMA
- Hii ni riwaya inayozungumzia maisha ya kijana aitwaye Utubora. Kama jina lake lilivyo, kijana huyu anajipambanua kuwa ni mtu jasiri, imara, mvumilivu, mwaminifu, mkweli na mwenye misimamo imara katika maamuzi yake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MWAFRIKA AIMBA
- Mwafrika Aimba ni diwani inayosawiri maisha ya mwanadamu. Mshairi ameonesha jinsi maisha yalivyo kwa Mwafrika. Anadokeza dhuluma, manyanyaso, unafiki, usaliti na maovu. Vilevile anawanasihi watu wote kutimiza wajibu wao.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HIDAYA YA SHAABAN ROBERT 1
- Hii ni diwani yenye mashairi mbalimbali yanayojadili mambo tofauti ya maisha ya binadamu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HIDAYA YA SHAABAN ROBERT 2
- No overview
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HIDAYA YA SHAABAN ROBERT 3
- Hii ni hadithi fupi inayohusu maisha ya kawaida ya binadamu. Mwandishi anajadili dhana ya upendo kama kiini cha urafiki, mapatano, msamaha na wokovu dhidi ya madhila ya binadamu wenye wivu, chuki na mabaya mengine.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HIDAYA YA SHAABANI ROBERT 4
- Uhodari na utunzi mahiri wa Shaaban Robert unadhihirishwa katika kazi yake hii ya Koja la Lugha, Mashairi yaliyosukwa kwa ustadi na kubeba tunu za jamii yamekusanywa na kuunda kitabu hiki.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HIDAYA YA SHAABAN ROBERT 5
- Huu ni mkusanyiko wa mashairi ya Shaaban Robert unaoakisi maisha ya jamii kwa kuangazia nyanja mbalimbali na mabadiliko yake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HIDAYA YA SHABAAN ROBER 6
- Riwaya hii ya kiwasifu inazungumzia mwimbaji maarufu wa taarabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
- Published : 2023
- Language : Swahili