Mwafrika Aimba
Paperback

Mwafrika Aimba ni diwani inayosawiri maisha ya mwanadamu. Mshairi ameonesha jinsi maisha yalivyo kwa Mwafrika. Anadokeza dhuluma, manyanyaso, unafiki, usaliti na maovu. Vilevile anawanasihi watu wote kutimiza wajibu wao.

Shaaban Robert

No

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789976583809
  • Tarehe ya kuchapishwa : June 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 59
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : First Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii