Vimepatikana vitabu 56 kati ya
General
Unaangalia 1 - 12 kati ya 56
Unaangalia 1 - 12 kati ya 56
- TAHAKIKI KIDATO CHA 3 & 4
- Ufupisho wa vitabu vya fasihi vinavyotumika kidato cha 3 na 4 ukiambatana na ufafanuzi makini wa mada ya fasihi pamoja na mifano na maswali ya kujipima.
- Kimechapishwa : 2015
- Lugha : Swahili
- METHALI ZA KIKWETU
- Mkusanyiko wa methali zaidi ya 2200 zilizofafanuliwa na kutolewa maana sanifu na inayoendana na muktadha wa sasa.
- Kimechapishwa : 2015
- Lugha : Swahili
- VITENDAWILI VYA KIKWETU
- Mkusanyiko wa vitendawili zaidi ya 1300 na majibu katika njia ya picha zinazomwezesha msomaji kupambanua uhusiano baina ya kitendawili na jibu lake.
- Kimechapishwa : 2015
- Lugha : Swahili
- MASHAIRI YA CHEKACHEKA
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa Mashairi ya Chekacheka zaidi ya 30
- Kimechapishwa : 2016
- Lugha : Swahili
- TAKADINI
- ISBN : 9789987602193 Level : Secondary School Subject : Riwaya Fasihi Publisher / Manufacture : Mathew/ APE Network Nature : Textbook Binding/Format : Paperback Grade : O-Level Origin : Tanzania
- Kimechapishwa : 2016
- Lugha : Swahili
- NAHAU ZA KIKWETU
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa nahau zaidi ya 650, maana zake pamoja na matumizi yake.
- Kimechapishwa : 2016
- Lugha : Swahili
- HARUSI
- Vigelegele, vifijo na cherekochereko za kina mama wakiimba mamie mwana so ukaule mgeni kengia ndizo zinazokamilisha kilele cha harusi ya Rahman, mtoto wa Alhaj Mwinyi Karim kwa Shufaa binti wa Mwinyi Sitaki Shari.
- Kimechapishwa : 2017
- Lugha : Swahili
- CHUNGU TAMU
- CHUNGU TAMU ni mashairi yanayouimulika jamii na kuichunguza kwa makini. Mashairi haya ni fasihi changanuzi yanaikosoa jamii yetu na kutoa mapendekezo mwaafaka dhidi ya mapungufu yaliyopo
- Kimechapishwa : 2017
- Lugha : Swahili
- JOKA LA MDIMU
- RIWAYA hii inasawiri kisa cha mvuta kwama aliyepora pesa benki ili kumpeleka mwanaye kutibiwa Ulaya.
- Kimechapishwa : 2017
- Lugha : Swahili
- MFADHILI
- MFADHILI ni riwaya inayoswawiri juu ya penzi zito baina ya watu wawili, Gaddi Bullah na Dania eobald ambalo linapitia katika misukosuko na mitihani mikubwa.
- Kimechapishwa : 2018
- Lugha : Swahili
- MALKIA BIBI TITI MOHAMMED
- Tamthilia hii inahusu Bibi Titi Mohamed
- Kimechapishwa : 2018
- Lugha : Swahili
- NYERERE NA SAFARI YA KANAANI
- Oktoba, 1996 kulizuka mgogoro mkubwa wa kihistoria kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Muhimbili.
- Kimechapishwa : 2018
- Lugha : Swahili