Found 293 matching results Viewing 157 - 168 of 293 matches Viewing 157 - 168 of 293 matches
- JULIUS NYERERE KIZIMBANI
- Tamthiliya hii inahusu tukio la kweli la kihistoria lililotokea mwaka 1958. Katika mwaka huo, TANU ikiwa na umri wa miaka minne pekee, serikali ya kikoloni ilidhamiria kuuyumbisha na hatimaye kuusambaratisha kabisa uongozi wa chama.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- JOKA LA MDIMU
- RIWAYA hii inasawiri kisa cha mvuta kwama aliyepora pesa benki ili kumpeleka mwanaye kutibiwa Ulaya.
- Published : 2017
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE UCHAMBUZI SEKONDARI
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali ya Fasihi kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 1995 hadi mwaka 2012 na majibu yaliyoandikwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE LUGHA DARASA LA 5, 6 & 7
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 550 ya Kiswahili na Kiingereza toka mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba tangu mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2012
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE LUGHA DARALA LA 3 & 4
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya masomo ya Kiswahili na Kiingereza toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la nne kati ya mwaka 1999 na 2012 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : English
- JIKUMBUSHE KISWAHILI KIDATO CHA 4
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 2005 through 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE KISWAHILI KIDATO CHA 2
- Kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 570 toka mitihani ya taifa ya kidato cha pili toka mwaka 2005 hadi 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE KISWAHILI 2 KIDATO CHA 5 & 6
- Mkusanyiko wa maswali toka mitihani ya taifa yaKidato cha sita tokea mwaka 2001 hadi 2016 pamoja na majibu yake fasaha.
- Published : 2016
- Language : English
- JIKUMBUSHE KISWAHILI 1 KIDATO CHA 5 & 6
- Mkusanyiko wa maswali toka mitihani ya taifa yaKidato cha sita tokea mwaka 2000 hadi 2014 pamoja na majibu yake fasaha.
- Published : 2015
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE JIOGRAFIA NA SAYANSI 3 & 4
- Mkusanyiko wa maswali ya kutoka mitihani ya darasa la 4 kuanzia mwaka 1999 mpaka 2012 , pamoja na majibu yenye kuonyesha maelekezo kikamilifu
- Published : 2015
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE HISTORIA, JIOGRAFIA, URAIA & SAYANSI 5, 6 & 7
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali toka mitihani ya Taifa ya Darasa la 7 kuanzia mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na njia na majibu yake fasaha.
- Published : 2015
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE HISTORIA & URAIA
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya Historia na Uraia toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne kuanzia mwaka 1999 hadi 2012 pamoja na majibu yake yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : Swahili
My Cart