Found 10 matching for Euphrase Kezilahabi Viewing 1 - 10 of 10 matches Viewing 1 - 10 of 10 matches
- KICHOMI
- Kichomi ni diwani inayoakisi mawazo anuwai kutoka kwenye nyanja tofauti za maisha, kama vile uchumi, siasa, utamaduni, ndoa na dini; hususan katika sehemu ya kwanza ya diwani aliyoiita Mashairi ya Mwanzo.
- Published : 2024
- Language : Swahili
- KICHWAMAJI
- Riwaya ya Kichwa Maji ni Riwaya iliyoandikwa mwaka 1974 na E. Kezilahabi. Hii ni Riwaya ya Kisaikolojia kwa sababu inadodosa nafsi ya mhusika, fikra, hisia, mawazo, imani, hofu, mashaka, matumaini na matamanio yake binafsi na athari za mambo hayo kwake na
- Published : 2023
- Language : Swahili
- GAMBA LA NYOKA
- Gamba la Nyoka ni riwaya inayoonyesha jinsi maamuzi ya kisiasa yasiyotafakariwa yanavyoweza kuwa na athari mbaya kwa wanyonge na wakulima.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- ROSA MISTIKA
- Rosa Mistika ni riwaya inayohusu masaibu ya msichana Rosa aliyelelewa katika mazingira ya udhibiti wa kidini na kimila katikati ya lindi la umaskini; na baadaye akakabiliwa na vishawishi pale alipoingia katika shule ya bweni na kisha chuo cha ualimu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- NAGONA
- Nagona ni riwaya fupi ya kifalsafa na kibaadausasa inayoibua fikra juu ya falsafa na maana ya uhai, maisha, dhamiri na hata fikra yenyewe. Mhusika kiini wa novela hii anajikuta katika mazingira ya ajabuajabu katika nyakati tofauti tofauti.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MZINGILE
- Mzingile ni novela (riwaya fupi) ya kifalsafa na kibaadausasa iliyochapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1991. Riwaya hii ni pacha ya ile ya Nagona (1990). Riwaya hii inasawiri chimbuko, maendeleo, maangamizi na kuzaliwa upya kwa dunia kutokana na fujo za wa
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KARIBU NDANI
- Karibu ndani ni diwani ya pili ya Kezilahabi. Hii imekusanya mashairi yaliyohusu harakati za Ujamaa nchini Tanzania, hususani “kushindwa” kwa Ujamaa kutokana na unjozi na upofu wa waasisi wake;
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KAPTULA LA MARX
- Chanzo ni jaribio la wafungwa gerezani kukusanya habari nyingi za "dunia ya nje" iwezekanavyo kwa kuiangalia kupitia shimo dogo ukutani.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- DUNIA UWANJA WA FUJO
- “Dunia uwanja wa fujo” inaelezea jinsi maisha yaliyopo duniani ni sawa sawa na fujo kwani kila mtu anayekuja duniani huleta fujo zake na baadae kutoweka.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- DHIFA
- Dhifa ni diwani ya mwisho ya Kezilahabi.
- Published : 2022
- Language : Swahili