Found 10 matching for Penina Muhando Viewing 1 - 10 of 10 matches Viewing 1 - 10 of 10 matches
- HIDAYA YA PENINA MUHANDO II
- Hidaya ya Penina Muhando ni mkusanyiko wa kazi mujarabu za mwandishi hodari wa tamthiliya, Profesa Penina Oniviel Muhando (Pia, Penina Mlama),
- Published : 2025
- Language : Swahili
- HIDAYA YA PENINA MUHANDO I
- Hidaya ya Penina Muhando ni mkusanyiko wa kazi mujarabu za mwandishi hodari wa tamthiliya, Profesa Penina Oniviel Muhando (Pia, Penina Mlama), ambaye, kwa mchango wake adhimu katika lugha ya Kiswahili, hususan utanzu wa tamthiliya, anastahili kutambuliwa
- Published : 2025
- Language : Swahili
- KODI
- Maisha yamekuwa na changamoto nyingi kwa watu wengi. Watoto nao wanfukuzwa shule, mke na mume hawaelewani na wengine wanafikia kuogopa hata kukaa nyumbani kwao, watoto na wazazi wao wanagombana, raia wanawalaumu viongozi wao...
- Published : 2025
- Language : Swahili
- HATIA
- Tamthiliya hii inahusu madhila yanayowapata watoto wa kike wanapoingia katika mahusiano kwa miguu miwili na kufanya maamuzi ya hatari kwa shinikizo la wanaodai kuwapenda.
- Published : 2025
- Language : Swahili
- HESHIMA YANGU
- Tamthilia hii fupi ina kisa cha kustaajabisha na kinachoangazia suala linalojitokeza pale ambapo wanajamii wanapokuwa radhi kushinikiza wengine kuishi katika hofu ili tu hadhi yao katika jamii isipotee.
- Published : 2025
- Language : Swahili
- TARAKA SI MKE WANGU
- Tamthiliya hii inaangazia kisa cha wazazi waliokosa maelewano na mume kuchukua uamuzi wa kumtaliki mkewe. Japo kutoa talaka ni jambo la mmoja, madhara yake hakika si jambo linalobaki kwa mmoja pekee.
- Published : 2025
- Language : Swahili
- HARAKATI ZA UKOMBOZI
- Tamthiliya hii inaangazia changamoto za nchi nyingi za Afrika miaka michache baada ya kupata uhuru.
- Published : 2025
- Language : Swahili
- PAMBO
- Pambo ni kitabu kinachotoa mfano kamili wa dhamira mgongano unaowapata baadhi ya vijana wetu. Mwandishi ametumia mfano wa kijana Pambo kueleza tatizo hili kwa namna inayovutia.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- LINA UBANI
- Rinda Musekusi anatumia madaraka yake vibaya kwa kupalilia ukabila na kutumia ofisi za umma kwa maslahi yake binafsi.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- NGUZO MAMA
- Penina Muhando (Pia Penina Mlama) ni mwandishi mbobevu na mwanazuoni wa Kiswahili hususan katika utanzu wa tamthiliya. Ameandika tamthiliya kama vile Heshima Yangu (1974), Pambo (1975), Lina Ubani (1984) na Mitumba Ndui (1989).
- Published : 2022
- Language : Swahili