Found 293 matching results Viewing 157 - 168 of 293 matches Viewing 157 - 168 of 293 matches
- KUANDIKA KWA VITENDO DARASA LA 2
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 2 wa mwaka 2016
- Published : 2024
- Language : Swahili
- KUANDIKA KWA VITENDO KITABU CHA KWANZA
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016.
- Published : 2020
- Language : Swahili
- KUMNG'OA NDULI
- Tamthiliya hii inaakisi awamu mbili za utawala wa Dikteta Idi Amin nchini Uganda. Awamu ya kwanza ni kuanzia mwaka 1971 alipomng’oa Milton Obote na kujitangaza rais wa maisha wa nchi ya Uganda.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KUSOMA KWA VITENDO DARASA 2
- Kitabu hiki kinafundisha somo la /Kusoma kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya msingi kwa darasa la 2 wa mwaka 2016
- Published : 2024
- Language : Swahili
- KUSOMA KWA VITENDO KITABU CHA 1
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kusoma kwa kuzingatia muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016.
- Published : 2020
- Language : Swahili
- KUWA KIJANA (TO BECOME A YOUNG MAN)
- Kitabu hiki kinaelezea kuhusu wavulana wa Tanzania
- Published : 2020
- Language : English
- LAWALAWA
- Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- LINA UBANI
- Rinda Musekusi anatumia madaraka yake vibaya kwa kupalilia ukabila na kutumia ofisi za umma kwa maslahi yake binafsi.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MABALA AND THE INTERNET
- This book will make you laugh out loud at the continuing tendency of Mabala to mess things up by claiming to know what he does not know instead of allowing those who do know to take the lead.
- Published : 2021
- Language : English
- MABALA THE FARMER
- Mabala grew up in town and worked in town for many years so he thinks a life of farming is easier than the life in town
- Published : 2020
- Language : English
- MAJI HAYAFATI MKONDO
- Maji Hayafuati Mkondo ni riwaya ya kipekee iliyoandikwa na mwandishi wa kike Felista Richard Mhonge . Riwaya hii inazungumzia changamoto anazokumbana nazo mwanamke katika kufikisha ndoto za maisha yake.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- MAJI MANDIGA
- Simulizi hii inaakisi uhalisia wa changamoto za maji wanazokutana nazo wanawake hasa wanaoishi vijijini. Iwapo kutakuwa na kufanana kwa jina au tukio la aina yoyote basi haikuwa dhamira ya mtunzi na mwandishi.
- Published : 2023
- Language : Swahili
My Cart