Found 293 matching results Viewing 133 - 144 of 293 matches Viewing 133 - 144 of 293 matches
- JIKUMBUSHE LUGHA DARALA LA 3 & 4
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya masomo ya Kiswahili na Kiingereza toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la nne kati ya mwaka 1999 na 2012 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : English
- JIKUMBUSHE LUGHA DARASA LA 5, 6 & 7
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 550 ya Kiswahili na Kiingereza toka mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba tangu mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2012
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE UCHAMBUZI SEKONDARI
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali ya Fasihi kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 1995 hadi mwaka 2012 na majibu yaliyoandikwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : Swahili
- JOKA LA MDIMU
- RIWAYA hii inasawiri kisa cha mvuta kwama aliyepora pesa benki ili kumpeleka mwanaye kutibiwa Ulaya.
- Published : 2017
- Language : Swahili
- JULIUS NYERERE KIZIMBANI
- Tamthiliya hii inahusu tukio la kweli la kihistoria lililotokea mwaka 1958. Katika mwaka huo, TANU ikiwa na umri wa miaka minne pekee, serikali ya kikoloni ilidhamiria kuuyumbisha na hatimaye kuusambaratisha kabisa uongozi wa chama.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KABRASHA LA RAIS
- Rais Kassim Mabrouk wa Tanzania anaingia kwenye mgogoro mkubwa na baadhi ya wajumbe wa chama chake, Chama Mahalia (CM). Genge la matajiri ndani ya chama linapanga mbinu chafu dhidi yake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KAMLETE AKIBISHA MLIPUE!
- No Overview
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KAMUSI YA KISWAHILI - KIINGEREZA
- No Overview
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KAMUSI YA KISWAHILI – KIINGEREZA - YA AFRIKA MASHARIKI
- Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina zaidi ya vidahizo 9,000 vya Kiswahili, msamiati linganifu wa Kiingereza na ufafanuzi wake kwa Kiingereza.
- Published : 2025
- Language : Swahili
- KAPTULA LA MARX
- Chanzo ni jaribio la wafungwa gerezani kukusanya habari nyingi za "dunia ya nje" iwezekanavyo kwa kuiangalia kupitia shimo dogo ukutani.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KARIBU NDANI
- Karibu ndani ni diwani ya pili ya Kezilahabi. Hii imekusanya mashairi yaliyohusu harakati za Ujamaa nchini Tanzania, hususani “kushindwa” kwa Ujamaa kutokana na unjozi na upofu wa waasisi wake;
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KICHOMI
- Kichomi ni diwani inayoakisi mawazo anuwai kutoka kwenye nyanja tofauti za maisha, kama vile uchumi, siasa, utamaduni, ndoa na dini; hususan katika sehemu ya kwanza ya diwani aliyoiita Mashairi ya Mwanzo.
- Published : 2024
- Language : Swahili
My Cart